UJUMBE wa UJUMBE!
Nami nikisema “MAKIWA” na kuwapa pole wananchi wa Kenya na wanajumuiya ya Africa Mashariki wote kwa jumla.
Namwomba Mwenyezi Mungu alaze roho za wanajeshi wa Kenya waliopoteza maisha yao kwenye ajali ya ndege akiwemo mkuu wa jeshi na wanajeshi wenzake, pema peponi na afariji familia zao. Amiiina!
Nashukuru Mheshimiwa Rais Paul Kagame kwa kutuma rambirambi zake kwa lugha ya Kiswahili, ili sote tuweze kuungana pamoja tukiwa na UJUMBE moja wa kuwapa pole wenzetu kwa kuwapoteza wapendwa wao. Makiwa!
Napenda nichukue fursa hii kwa niaba ya wanyarwanda wasiyojua lugha hii ya Kiswahili ko Nyakubahwa Perezida Paul Kagame yoherereje mugenzi we ubutumwa bwo kumufata mu mugongo kubera urupfu rw’Umukuru w’ingabo za Kenya na bagenzi be baguye mu mpanuka y’indege ya kajugujugu ejo hashize. Natwe twifatanyije na bo ku mutima. Uwiteka abahoze kandi abahumurize. No mu kiriyo ntituri insina ngufi ” migomba mifupi “

Mwalimu Malonga Pacifique









































































































































































